EFM RADIO

EFM RADIO

HERICONY

Tangaza hapa

Tangaza hapa

TANGAZA NA BLOG YAKO HAPA

TANGAZA NA BLOG YAKO HAPA

Saturday, September 15, 2012

MTOTO WA MZEE MALECELA AFUNGUKA KUHUSU SINTAH


                         
                                                    LeMutuZ na J wakeLo katika Poz
                                          Hii ndo fb cover yake mpya LeMutuz.Superb.

Mtoto wa mwanasiasa wa siku nyingi Mh John S.Malecela, William Malecela maruufu kama LeMutuz ,Big Show ambae pia ni kada mkubwa wa CCM leo hii ameonyesha hisia zake za ndani alizonazo juu ya Msanii wa sanaa ya maigizo kitambo (kaole) Christine John aka Sinta ama J-Low wa bongo. LeMutuz ambae ana aka mpya lijulikanalo kama The King of All Social Nertwork Media.Amedhihilisha ilo mara baada ya kubadilisha Wall Cover yake ya Facebook nakuweka Poster inayoonyesha Logo ya kipindi kipya cha Tv cha bibie uyo kinacholushwa DTV kila jumanne saa 3:00 usiku kiitwacho Harusini na Sinta.
Mc GaraB nikaona ni vyema nimuulize Kulikoni kaka mkubwa kuna ajenda gani ya siri kati yao wawili ..Na hivi ndivyo alivyo tiririika LeMutuuz!
"UNAJUA JANA KIONGOZI MMOJA MKUBWA SANA WA CCM NA WAZIRI PIA, ALINIITA THE KING OF ALL SOCIAL NETWORK MEDIA, CAUSE NO QUESTION THAT I CAN SELL ANYTHING THROUGH MEDIA,Ndivyo alivyoanza Willy ambae pia anasifika sana kwa kupenda kwa Kupiga picha akiwa kapose na wadada warembo akiwaitaSuperB!! then akaendelea kufunguka   "AND HERE IS MY BABY-SISTER,(SINTA) WORKING HER ASS OFF TO MAKE IT TO THE TOP, BINADAM WOTE TUNA MAPUNGUFU, BUT I LOVE HER TO DEATH SHE IS MY BEST SUPER FRIEND AND I TRUST HER AND WILL DO ANYTHING IN MY POWER FOR HER!! AND I KNOW SHE 'ILL DO ANYTHING FOR ME IF I ASK, AND THAT IS WHAT FRIENDSHIP IS ALL ABOUT, SO THAANKS Gara B Kubwa, GIMME A TIME I AM A LITTLE BUSY FOR KNOW PUTTING THINGS TOGETHER," 
Nilipo muuliza ananini cha kumwambia Sintah kwa kumalizia haya ndio yake ya Moyoni.."LUV YAH MY SISTER WITH ALL MY HEART!"
Kama haitoshi LeMutuZ ambae pia ametokoelezea kwenye Muvi Mpya ya Queen huyo hiitwayo The Return Of J-Lo .Ameonyesha nia ya kufanya kazi na mimi Mc GaraB siku moja.  "LAKINI SOON WILL NEED TO WORK WITH YAH TOO, SALUTE!!" Alimaliza mtu mzima William Malecela ambae ni Baharia wa siku nyingi pia.So stay tuned
Mahojiano aya yamefanyika kupitia Mtandao wa FaceBook
               Chanzo cha habari http://mcrugalabamu.blogspot.com/

No comments:

Post a Comment

HABARI MBALIMBALI

‘Dk. Cheni’ ‘Sharo Milionea ‘Thea’ African Women AGNESS MASOGANGE AK CLASSIC COSMETICS ALI KIBA Amanda Poshy Ant ANT LULU Ashley Toto Aunt Ezekiel Aunty Ezekiel AUNTY LULU Azam Fc Baby Madaha BAHATI BUKUKU Barnaba BATULI BBA Beauty of the day Belle 9 BI KIDUDE BIBI BOMBA Big Brother Big Brother Africa Bill Gates BINTI KIZIWI BOB JUNIOR Bodi ya Filamu Bongo Movie Bongo Movies CCM CHADEMA Chombezo Christina Shusho Chuchu hans. Clouds Media Group Club Bilicanas DAR LIVE DAVINA Dayna Nyange Diamond Dida Diva Loveness Love Dj Ommy Crazy wa Maisha Club DOGO JANJA DOKI DR.CHENI DSTV Dude Dully Sykes EBSS 2013 Elizabeth Michael Epiq Bongo Star Search (EBSS) ESHA BUHETI Ester Bulaya Feza Kessy FIESTA 2014 Flaviana Matata FLORA MBASHA FLORA MVUNGI Francis Cheka GARDNER GLOAL PUBLISHERS GLOBAL TV ONLINE H. BABA Halima Mdee HAMISA Happy birthday Hemedi Hemedy Suleiman HOTUBA YA RAIS JAKAYA MRISHO KIKWETE Hoyce Temu Huddah Monroe HUSINA IRENE PAUL Irene Uyoya ISABELLA J film 4 life Jack Chuz JACK PATRICK Jacob Steven ‘JB’ Jacqueline Dustan JACQUELINE WOLPER Jaji Khamis 'Kashi' Jay Dee JENNIFER KYAKA (ODAMA) JIDE JINI KABULA JK JO Johari Jokate Mwigelo ‘Kidot’. JOTI Joyce Kiria Joyce Kiwia JUX K-LYNN KADINDA kaja Kajala Masanja Kapotive Star Singers KATUNI Kemmy Kero Zetu KHADIJA OMAR KOPA KIKWETUKWETU KILI MUSIC AWARDS KOLETA Lady Jay Dee Lady Jaydee Lake Oil LAVEDA Linah Sanga Linex Lisa Jensen Loveness Diva Lucy Francis Komba Lulu M2 The P MABILIONEA Madam Rita MADELA Magazeti Mahusiano Maimartha Jesse MAINDA MAISHA Makala Malkia Elizabeth MAMTEI MANDELA MARIAM ISMAIL Masanja Mkandamizaji Mashindano ya Miss Tanzania Matangazo Matonya MaxMalipo MAYA MELLIS EDWARD MENINAH MGOSI MKOLONI Mh Halima Mdee mic Michezo MILLEN HAPPINESS MAGESE MISS CHANG'OMBE MISS DAR CITY CENTER Miss East Africa MISS REDD'S IRINGA 2013 MISS TANGA 2013. MISS TANZANIA 2014 Miss Tanzania mwaka 2011 MISS TEMEKE 2014 MISS USTAWI MISS UTALII TANZANIA 2012/13 Miss vyuo vikuu 2013 MKALA MREMBO HUDDAH Mrisho Mpoto Mrisho Ngassa MSHINDI WA REDD'S MISS LAKE ZONE 2013 NI LUCY CHARLES. MSHINDI WA TAJI LA REDDS MISS KANDA YA KATI 2013 Mtitu muziki Mwana FA MWANAMKE BORA WA MWAKA 2013/14 Mzee Majuto Nancy Sumari Nani Mtani Jembe? NAPE Nassoro ‘Nora’ Natasha Nay wa Mitego Necta Nelly Kamwelu NEY WA MITEGO Nisha NSSF;Zantel Nyamwela NYimbo Nyota yako OBAMA TANZANIA OMMY DIMPOZ P FUNK PAM D Peniel Mgilwa ‘Penny’ PETIT MAN Profesa Jay Q - CHILA Q Boy Q Chilla QUEEN DARLEEN RACHEL NDAUKA RAIS KIKWETE Rais Kikwete. Rasimu Ya Katiba TZ Ray Ray C Redd’s Miss IFM REDD'S MISS KAGERA 2013 REDD'S MISS TZ REDDS MISS TANZANIA 2014 Redds Miss wa Mikoa REHEMA FABIAN RICHIE RICHIE Rihanna ROSE MUHANDO Rose Ndauka Ruge Mutahaba. SABASABA 2013 Saida Karoli Saikolojia Sajeti SAJUKI Sandra SHAA Shamsa Ford Sheikh Ponda Shilole Sintah Siwema Skin Tricks Snura Mushi Spika Makinda staa Staa Wetu Stella Mwangi STYLE ZA NYWELE Taifa Stars Tamasha la matumaini TAMASHA LA SERENGETI FIESTA 2013 Tangazo TANZANIA TEGO TENGENEZA WEBSITE NA BLOG TID Tundaman Tupo wangapi? TUZO ZA MWANAMKE BORA WA MWAKA 2013/14 Twanga Pepeta USA PAGEANT 2014‏ VAI Wastara WEMA WEMA SEPETU Yanga Yanga Bingwa 2013 YOUNG D Yvonne Cherry ‘Monalisa’ Z Anton. Zari Zito kabwe

Translate