Ni baada ya Chuma blog kumtafuta msanii huyo na kuamuwa kufunguka kwa kusema kuwa ni kweli amesikia jambo kama hilo kuwa azitakiwi kupigwa nyimbo zake tena katika radio hiyo na hata zile alizoshilikiana na wasanii wengine.Afande alizidi kufunguka kwa kusema kuwa yeye pia anashanga sana kwa jambo hilo.Akiwa kama yeye ni mkazi wa mkoa huo na kuona hata chombo cha nyumbani kina fanya mambo tofauti.
Ila ilinibidi kuzidi kumuuliza kwa kumbana kunipa ukweli wa mambo kama kuna tatizo lingine zaidi ?Alisema kuwa jambo ili lishatokea apo nyuma na tukawa tumeyamaliza kwa kuombana "Msamaha" katika uongozi wa kituo hicho,Ila kwa mwaka huu nashanga kuona jambo hilo tena.
Alizidi kufunguka kwa kusema yeye sio mbunge na wala atalajii kuwa mbunge wa morogoro,ila wananchi ndio wanamlazimisha kugombea.Cha zaidi aliniakikishia kuwa yeye hana chama chochote cha siasa na anavipenda vote. "Afande sele" alisema
HABARI KWA HISANI YA CHUMA BLOG
No comments:
Post a Comment