Bunge la Afrika Mashariki
Rais wa Kenya Mwai Kibaki katika picha ya pamoja na Spika wa Bunge la Afrika Mashariki Margaret Zziwa (wa pili kushoto) na Wabunge wa Afrika Mashariki mara baada ya kufungua na kuhutubia Bunge hilo lililoanza wiki iliyopita jijini Nairobi, Kenya.
Wabunge wengine akiwemo Abdullah Mwinyi naye akisalimiana na Rais Mwai Kibaki wa Kenya
Wabunge wa Bunge la Afrika Mashariki.
Sehemu ya wabunge wa Bunge la Afrika Mashariki wakimsikiliza Rais Kibaki
Maafisa wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika picha ya pamoja na Mbunge Shy-Rose Bhanji mara baada ya ufunguzi.
No comments:
Post a Comment