SARE zimezidi kuiandama timu ya Simba baada ya leo kulazimishwa
tena sare ya nne katika mchezo wake dhidi ya JKT Mgambo. Mechi hiyo
iliyomalizika kwa matokeo ya 0-0 imepigwa ndani ya uwanja wa Mkwakwani
mkoani Tanga. Simba imetoka sare katika mechi dhidi ya Yanga, Kagera
Sugar, Coastal Union na JKT Mgambo. Kwa matokeo hayo Simba inakuwa na
pointi 19 ikiwa imecheza michezo 9.
![]() |
Mashabiki wa timu ya Simba wakifuatilia mchezo |
No comments:
Post a Comment