Abdulrahman Kinana-Katibu Mkuu.
Mwigulu Nchemba-Naibu Katibu Mkuu, Bara.
Vuai Ali Vuai-Naibu Katibu Mkuu Zanzibar.
Nape Nnauye-Katibu Mwenezi.
Asha Rose Migiro-Siasa na Uhusiano wa Kimataifa.
Zakia Meghji-Uchumi na Fedha.
Sekretarieti hii imetangazwa siku ya jana mjini Dodoma na Mwenyekiti wa CCM,
Rais Jakaya Kikwete baada ya uteuzi wake kuidhinishwa na Kikao Cha
Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) kilichokutana kwa mara ya kwanza mjini
Dodoma tangu uchaguzi mkuu wa CCM ufanyike.
(Picha na Bashir Nkoromo)

No comments:
Post a Comment