Meneja wa taasisi isiyokuwa ya Kiserikali Joyce Josephat (kushoto) akimkabidhi Afisa maendeleo ya jamii wilaya ya Bagamoyo Bi. Halima Shabani Simbano baiskeli 80 zenye thamani ya shilingi milioni 11 kwa ajili ya waelimishaji rika wanaopambana na vitendo vya unyanyasaji kwa watu wenye maambukizi ya Ukimwi kwenye kata 16 za wilaya Bagamoyo makabidhiano hayo yalifanyika katika shule ya msingi kata ya Lugoba.
Baadhi ya waelimishaji rika wanaopambana na vitendo vya unyanyasaji kwa watu wenye maambukizi ya virusi vya Ukimwi wakipokea baiskeli hizo mara baada ya kukabidhiwa kwaa jili ya kwenda kukusanya maoni kwenye kata zao wilaya ya Bagamoyo.
Mkurugenzi mkuu wa Taasisi ya Communty Development Initiative Professina ls (CDIP) Dkt. Jeremia Makula akiwasisitizia jambo waelimishaji rika mara baada ya kukabidhiwa baiskeli hizo.
Waelimishaji rika wanaopambana na vitendo vya unyanyasaji kwa watu wenye maambukizi ya Virusi Ukimwi kwa wanawake na watoto wakiwa darasani. (PICHA NA PHILEMON SOLOMON).
No comments:
Post a Comment