EFM RADIO

EFM RADIO

HERICONY

Tangaza hapa

Tangaza hapa

TANGAZA NA BLOG YAKO HAPA

TANGAZA NA BLOG YAKO HAPA

Friday, November 9, 2012

Wanafunzi walalamikia viongozi wa Chadema.

Godfrey Kahango, Mbeya

WANAFUNZI wa Elimu ya Juu ambao ni wanachama wa Chama  cha Demokrasia na Maendeleo (Chaso) katika Tawi la Chuo Kikuu cha Teofilo Kisanji (Teku), mkoani Mbeya, wamelalamikia viongozi wa chama hicho kwa kutotembelea tawi hilo  tangu lilipozinduliwa.
Imeelezwa kuwa tawi hilo lilizinduliwa na Mwenyekiti wa Taifa wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe Mei mwaka jana, akiwa amefuatana na viongozi wengine wa chama hicho.
Wanafunzi hao walitoa malalamiko yao juzi wakati wa mahafali ya pili ya wanachama wa Chaso, Tawi la Teku, yaliyofanyika katika Ukumbi wa Kiwira, jijini Mbeya na kuhudhuriwa na viongozi mbalimbali wa chama hicho.
Akisoma risala ya wanafunzi hao, Joseph Mlundi alisema tangu tawi hilo lilipozinduliwa mwaka jana, hakuna kiongozi hata mmoja katika ngazi ya mkoa na wilaya, aliyewahi kulitembelea na kuzungumza na wanachama.



“Tangu kufunguliwa kwa Tawi la Chaso kwenye chuo chetu hatujawahi kumwona kiongozi yeyote si wa ngazi ya wilaya wala mkoa, aliyewahi kuja kututembelea na kuzungumza na wanachama kwa nia ya kujenga chama,” alisema Mlundi.
Alisema licha ya wanafunzi hao kushiriki katika harakati mbalimbali za nje na ndani ya chuo hicho, inasikitisha kuona hakuna anayeonekana kuwajali hata kwa kuwatembelea.
Mlundi alisema pamoja na mafanikio waliyoyapata, Chaso Tawi la Teku bado linakabiliwa na matatizo kadhaa likiwemo la ukosefu wa fedha za kulipia pango la ofisi.
Alikiomba chama hicho ngazi ya taifa, kutoa ruzuku hadi ngazi ya matawi ili kuwaepusha katika hatari ya kutimuliwa kwenye jengo la ofisi.
Akizungumzia tatizo la  kutotembelewa na viongozi hao, Mwenyekiti wa Baraza la Vijana wa Chadema wa Mkoa wa Mbeya, Joseph Kasambala aliwawarushia vijembe viongozi wa wilaya na mkoani kuwa  baadhi yao wanaogopa kuzungumza na wasomi.
Alisema hali hiyo ndiyo inayosababisha wanafunzi hao kutotembelewa na hivyo kudumaza mwamko wa mabadiliko ya kisiasa ndani ya vyuo hivyo.Via Mwananchi.

No comments:

Post a Comment

HABARI MBALIMBALI

‘Dk. Cheni’ ‘Sharo Milionea ‘Thea’ African Women AGNESS MASOGANGE AK CLASSIC COSMETICS ALI KIBA Amanda Poshy Ant ANT LULU Ashley Toto Aunt Ezekiel Aunty Ezekiel AUNTY LULU Azam Fc Baby Madaha BAHATI BUKUKU Barnaba BATULI BBA Beauty of the day Belle 9 BI KIDUDE BIBI BOMBA Big Brother Big Brother Africa Bill Gates BINTI KIZIWI BOB JUNIOR Bodi ya Filamu Bongo Movie Bongo Movies CCM CHADEMA Chombezo Christina Shusho Chuchu hans. Clouds Media Group Club Bilicanas DAR LIVE DAVINA Dayna Nyange Diamond Dida Diva Loveness Love Dj Ommy Crazy wa Maisha Club DOGO JANJA DOKI DR.CHENI DSTV Dude Dully Sykes EBSS 2013 Elizabeth Michael Epiq Bongo Star Search (EBSS) ESHA BUHETI Ester Bulaya Feza Kessy FIESTA 2014 Flaviana Matata FLORA MBASHA FLORA MVUNGI Francis Cheka GARDNER GLOAL PUBLISHERS GLOBAL TV ONLINE H. BABA Halima Mdee HAMISA Happy birthday Hemedi Hemedy Suleiman HOTUBA YA RAIS JAKAYA MRISHO KIKWETE Hoyce Temu Huddah Monroe HUSINA IRENE PAUL Irene Uyoya ISABELLA J film 4 life Jack Chuz JACK PATRICK Jacob Steven ‘JB’ Jacqueline Dustan JACQUELINE WOLPER Jaji Khamis 'Kashi' Jay Dee JENNIFER KYAKA (ODAMA) JIDE JINI KABULA JK JO Johari Jokate Mwigelo ‘Kidot’. JOTI Joyce Kiria Joyce Kiwia JUX K-LYNN KADINDA kaja Kajala Masanja Kapotive Star Singers KATUNI Kemmy Kero Zetu KHADIJA OMAR KOPA KIKWETUKWETU KILI MUSIC AWARDS KOLETA Lady Jay Dee Lady Jaydee Lake Oil LAVEDA Linah Sanga Linex Lisa Jensen Loveness Diva Lucy Francis Komba Lulu M2 The P MABILIONEA Madam Rita MADELA Magazeti Mahusiano Maimartha Jesse MAINDA MAISHA Makala Malkia Elizabeth MAMTEI MANDELA MARIAM ISMAIL Masanja Mkandamizaji Mashindano ya Miss Tanzania Matangazo Matonya MaxMalipo MAYA MELLIS EDWARD MENINAH MGOSI MKOLONI Mh Halima Mdee mic Michezo MILLEN HAPPINESS MAGESE MISS CHANG'OMBE MISS DAR CITY CENTER Miss East Africa MISS REDD'S IRINGA 2013 MISS TANGA 2013. MISS TANZANIA 2014 Miss Tanzania mwaka 2011 MISS TEMEKE 2014 MISS USTAWI MISS UTALII TANZANIA 2012/13 Miss vyuo vikuu 2013 MKALA MREMBO HUDDAH Mrisho Mpoto Mrisho Ngassa MSHINDI WA REDD'S MISS LAKE ZONE 2013 NI LUCY CHARLES. MSHINDI WA TAJI LA REDDS MISS KANDA YA KATI 2013 Mtitu muziki Mwana FA MWANAMKE BORA WA MWAKA 2013/14 Mzee Majuto Nancy Sumari Nani Mtani Jembe? NAPE Nassoro ‘Nora’ Natasha Nay wa Mitego Necta Nelly Kamwelu NEY WA MITEGO Nisha NSSF;Zantel Nyamwela NYimbo Nyota yako OBAMA TANZANIA OMMY DIMPOZ P FUNK PAM D Peniel Mgilwa ‘Penny’ PETIT MAN Profesa Jay Q - CHILA Q Boy Q Chilla QUEEN DARLEEN RACHEL NDAUKA RAIS KIKWETE Rais Kikwete. Rasimu Ya Katiba TZ Ray Ray C Redd’s Miss IFM REDD'S MISS KAGERA 2013 REDD'S MISS TZ REDDS MISS TANZANIA 2014 Redds Miss wa Mikoa REHEMA FABIAN RICHIE RICHIE Rihanna ROSE MUHANDO Rose Ndauka Ruge Mutahaba. SABASABA 2013 Saida Karoli Saikolojia Sajeti SAJUKI Sandra SHAA Shamsa Ford Sheikh Ponda Shilole Sintah Siwema Skin Tricks Snura Mushi Spika Makinda staa Staa Wetu Stella Mwangi STYLE ZA NYWELE Taifa Stars Tamasha la matumaini TAMASHA LA SERENGETI FIESTA 2013 Tangazo TANZANIA TEGO TENGENEZA WEBSITE NA BLOG TID Tundaman Tupo wangapi? TUZO ZA MWANAMKE BORA WA MWAKA 2013/14 Twanga Pepeta USA PAGEANT 2014‏ VAI Wastara WEMA WEMA SEPETU Yanga Yanga Bingwa 2013 YOUNG D Yvonne Cherry ‘Monalisa’ Z Anton. Zari Zito kabwe

Translate