MAHAKAMA
 Kuu Kanda ya Dar es Salaam leo imemwachia kwa dhamana msanii wa filamu,
 Elizabeth Michael 'Lulu' aliyekuwa anakabiliwa na kesi ya kumuua msanii
 mwenzake wa filamu Steven Kanumba Aprili 7, 2012 bila kukusudia baada 
ya kukamilisha taratibu zote za dhamana.
 Kutoka
 kushoto ni mama mzazi wa Lulu Lucresia Karugila, wakili wa Lulu bwana 
Kibatala na Dk. Cheni wakijadili jambo wakati wakisubiri dhamana ya 
Lulu.
Kutoka
 kushoto ni mama mzazi wa Lulu Lucresia Karugila, wakili wa Lulu bwana 
Kibatala na Dk. Cheni wakijadili jambo wakati wakisubiri dhamana ya 
Lulu. Lulu akiwa ndani ya gari baada ya kukamilisha dhamana yake.
Lulu akiwa ndani ya gari baada ya kukamilisha dhamana yake. Gari lililombeba Lulu likiondoka mahakamani.
Gari lililombeba Lulu likiondoka mahakamani.
 (PICHA ZOTE NA ISSA MNALLY/GPL)
 
No comments:
Post a Comment