BAADA YA
KUSUBIRIWA KWA HAMU, HATIMAYE KILE KITABU 'Kifo ni Haki Yangu' CHA
MTUNZI MAHIRI WA RIWAYA NCHINI TANZANIA, Eric James Shigongo, hatimaye
kiko tayari kuanza kuuzwa karibu yako. Kwa wasomaji wa mtandao huu,
mnayo nafasi kubwa ya kukipata BURE, unachotakiwa kufanya ni kuhakikisha
wewe ni mwanachama au umeshajisajili katika mtandao huu, kama bado
fanya hivyo kuanzia leo kisha usubiri utaratibu wa kujipatia kitabu hiki
na vingine BUREEE...Stay Tuned!

No comments:
Post a Comment