 Mgeni
 rasmi katika Tamasha la Usiku wa Mastaa wa Filamu, Jerry Slaa, 
akisalimiana na baadhi ya mastaa baada ya kuwasili ndani ya ukumbi wa 
Dar Live.
Mgeni
 rasmi katika Tamasha la Usiku wa Mastaa wa Filamu, Jerry Slaa, 
akisalimiana na baadhi ya mastaa baada ya kuwasili ndani ya ukumbi wa 
Dar Live. Jack wa Chuz akiwasalimia mashabiki wake.
Jack wa Chuz akiwasalimia mashabiki wake. Snura Mushi akiwapa raha mashabiki.
Snura Mushi akiwapa raha mashabiki. Afande Sele akiwachizisha mashabiki.
Afande Sele akiwachizisha mashabiki. Mgeni
 rasmi ambaye ni meya wa Ilala, Jerry Slaa (wa pili kushoto) akifuatilia
 matukio katika tamasha hilo. Wengine pichani ni Rose Ndauka (wa kwanza 
kulia), Rais wa Shirikisho la Filamu nchini, Simon Mwakifwamba (wa pili 
kulia) na Michael Sangu 'Mike' (wa kwanza kushoto).
Mgeni
 rasmi ambaye ni meya wa Ilala, Jerry Slaa (wa pili kushoto) akifuatilia
 matukio katika tamasha hilo. Wengine pichani ni Rose Ndauka (wa kwanza 
kulia), Rais wa Shirikisho la Filamu nchini, Simon Mwakifwamba (wa pili 
kulia) na Michael Sangu 'Mike' (wa kwanza kushoto). Jerry Slaa (kulia) akimkabidhi Simon Mwakifwamba mchango kwa ajili ya mfuko wa wasanii.
Jerry Slaa (kulia) akimkabidhi Simon Mwakifwamba mchango kwa ajili ya mfuko wa wasanii.
(PICHA ZOTE : ERICK EVARIST NA MUSA MATEJA/GPL)
 
No comments:
Post a Comment