LONDON, ENGLAND
CHANGUDOA, Jenny Thompson, ambaye aliwahi kufanya mapenzi na Wayne Rooney, ameibuka upya lakini safari hii ameamua 'kumpigia magoti' mke wa nyota huyo wa Manchester United, Coleen na kuomba radhi.

Jenny ambaye alivipamba vichwa vya habari vya magazeti mbalimbali hivi karibuni ameamua kuweka mambo sawa ili awe na amani.
Changudoa huyo aliyelala na Rooney wakati Coleen alipokuwa na ujauzito uliomzaa, Kai, amesema anajisikia vibaya kulala na mwanaume huyo wakati mkewe akiwa kwenye kipindi kigumu.
Jenny kwa sasa amejifungua mtoto wa kike aitwaye Izabella na amesema mwanamke mwenye mimba anastahili heshima.
"Najisikia vibaya kutokana na jambo nililofanya," alisema mwanamke huyo.
Hata hivyo mapema mwezi huu Jenny alisema ataendelea kusaka wanasoka na kulala nao ili kujiingizia kipato.

No comments:
Post a Comment