
JB aliyasema hayo katika mazungumzo yake na wana Saluti5, juu yamustakabari mzima wa maendeleo na hatua aliyokwishapiga tangu aanze kujihusisha na shughuli ya uigizaji.
“Jambo ambalo kwa sasa naliona ni kubwa mno, ninaloweza kujivunia, ni pamoja na sinema yangu iitwayo ‘Ukurasa Mpya’, ambayo kiukweli ni picha kali zaidi hapa nchini,” alisema JB.
JB alisema kuwa,kupitia filamu hiyo, anaamini atakuwa amefanikiwavilivyo kukata na kumaliza kabisa kiu ya mashabiki pamoja na wapenzi wa filamu hapa nchini.
No comments:
Post a Comment