Rais
Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akiweka shada la maua katika kaburi la
Askofu Mstaafu jimbo Katoloki la Moshi Marehemu Mhashamu Amedeus
Msarikie wakati wa ibada ya mazishi Iliyofanyika katika Kanisa la Kristu
Mfalme mjini Moshi Jana.
Mwenyekiti
wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) na Kiongozi wa Kambi ya
Upinzani Bungeni (KUB) akitoa heshima zake za mwisho kwa Askofu Mstaafu
wa Kanisa Katoliki nchini, hayati Amedeus Peter Msarikie, katika misa ya
kumuaga iliyofanyika jana katika Kanisa la Kristo Mfalme, Mjini Moshi.
(Picha na Freddy Maro-IKULU)
No comments:
Post a Comment