Akiteta
jambo na Issa Mnally (mpigapicha na mwandishi wa magazeti ya Uwazi,
Ijumaa, Risasi, Amani na Championi) ndani ya mahakama kabla ya hakimu
kuwasili.
Akiondoka eneo la mahakama mara baada ya kesi kuahirishwa akiwa na wakili wake.
Jackson Simbo anayedaiwa kumgonga kwa gari marehemu trafiki Elikiza
Nko wiki iliyopita maeneo ya Bamaga-Mwenge jijini Dar es Salaam
amepandishwa kizimbani leo katika mahakama ya Wilaya ya Kinondoni.
Mshitakiwa huyo ameachiwa kwa dhamana hadi kesi hiyo itakapo tajwa tena
Aprili 15 mwaka huu(PICHA ZOTE ISSA MNALLY NA HARUNI SANCHAWA)
No comments:
Post a Comment