Mwenyekiti wa Jukwaaa la Wahariri Absalom
Kibanda usiku wa kuamkia leo amevamiwa na majambazi akiwa anaingia
nyumbani kwake.Amejeruhiwa vibaya ikiwa ni pamoja na kutobolewa jicho na
sasa anatibiwa Hospitali ya Taifa Muhimbili
Mwenyekiti wa Jukwaaa la Wahariri Absalom Kibanda akiwa amelazwa Hospital ya Taifa Muhimbili.
No comments:
Post a Comment