MKALI wa filamu na muziki Bongo, Snura Mushi amesema anaogopa kuingia
kwenye uhusiano wa kimapenzi na wasanii wa filamu kwani wengi wao hawana
mapenzi ya kweli.
Akipiga domo na paparazi wetu, Snura alisema tangu aanze kucheza filamu
alijiapiza kuwa kamwe hatajiingiza kwenye mapenzi na waigizaji zaidi ya
kushirikiana nao katika kazi ya kuzalisha filamu.
“Mimi siwapendi wanaume wasanii wa filamu, sijawahi kuwa nao labda awe msanii wa Bongo Fleva,” alisema Snura.
“Mimi siwapendi wanaume wasanii wa filamu, sijawahi kuwa nao labda awe msanii wa Bongo Fleva,” alisema Snura.
No comments:
Post a Comment