Mrembo na mjasirimali hapa nchini
Jokate Mwengelo weekend hii amekuwa mgeni rasmi kwenye mashindano ya
UMISSETA 2013 ngazi ya wilaya katika halmashauri ya Songea mkoani Ruvuma.
Jokate alikuwa kama mgeni rasmi kupitia kampeni yake Kidoti Time yenye lengo kusaidia na kuibua vipaji mbalimbali vya wanafunzi mkoani, akizungumza na mtandano alisema"
Jokate alikuwa kama mgeni rasmi kupitia kampeni yake Kidoti Time yenye lengo kusaidia na kuibua vipaji mbalimbali vya wanafunzi mkoani, akizungumza na mtandano alisema"
Kidoti Time ni program ambayo itakuwa ikifanyika
mashuleni kuanzia term(muhula) ujao katika masomo lengo ni kuvumbua vipaji mbalimbali vya wanafunzi kama
Uchoraji,uimbaji,ubunifu,kuingiza na vipaji vingine...!!!!!

No comments:
Post a Comment