KWELI haya ni makubwa! Baada ya kuadimika kwa muda mrefu, mwigizaji
wa filamu za Kibongo, Aisha Bui ameibuka na kusema kuwa anatafuta
mwanaume ambaye atamzalia mtoto na hatimaye waoane ila akadai wa kumuoa
kwa sasa hamuoni.
Akizungumza na Ijumaa Wikienda, Aisha alifunguka kuwa alikuwa kimya kwa sababu kuna mambo alikuwa akifanya.
Alisema kwa kuwa ameyakamilisha, sasa ana nafasi ya kusaka mtoto iwapo atampata mwanaume sahihi.
Alivitaja vigezo vya mwanaume wa kumzalia kuwa amjengee nyumba ya kuishi yeye na mtoto wake kisha awe na uwezo wa kumlea na kumpatia elimu bora.

No comments:
Post a Comment