
Gorofa
linalojengwa katika eneo la Ilala Bungoni mtaa wa mafuriko jijini Dar
es salaam bila kufuata sheria ya kuweka vizuizi kwa ajili ya usalama wa
watu,imesababisha kifo cha mwanafunzi wa darasa la kwanza mwenye umri wa
miaka 6 baada ya kupigwa na mbao yenye misumari iliyorushwa kutoka juu
ya gorofa hilo na kufariki papo hapo.
No comments:
Post a Comment