Taswira kwenye kikao hicho cha Kamati Kuu ya CCM.
Katibu
Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana, akimkaribisha Mwenyekiti wa CCM, Rais
Jakaya Kikwete kufungua na kuendesha kikao cha Kamati Kuu ya CCM, leo
katika ukumbi wa Jengo la White House mjini Dodoma. Kushoto ni Makamu
Mwenyekiti wa CCM (Zanzibar), Rais wa Zanzibar, Dk. Ali Mohamed Sheni na
kulia ni Makamu Mwenyekiti wa CCM (Bara), Philip Mangula.



No comments:
Post a Comment