Meneja wa Clouds Media Group, Ruge Mutahaba.
Akizungumza muda mfupi uliopita
katika kipindi cha Power Breakfast, Meneja wa Clouds Media Group, Ruge
Mutahaba ameelezea yafuatayo kuhusiana na tuhuma zilizotolewa na msanii
Judith Wambura 'Lady Jaydee' wiki iliyopita:
-Asema vita ya Lady Jaydee ameielekeza sehemu isiyo sahii kama tatizo ni Bendi ya SkyLight basi apambane kuipiku bendi hiyo na si kugombana na watu wengine
-Awaasa wasanii kukubali kupokezana vijiti na kujiandaa kwa maisha yajayo
-Aelezea Clouds ilipomtoa Jaydee mpaka sasa alipo
-Aaamua siku ya leo kutopigwa muziki wa Bongo Flava
-Asema kuwa Clouds ni chombo binafsi kina maamuzi ya kufanya chochote pasipo kuvunja sheria
-Asema siyo vizuri watu kuchafuana katika mitandao ya kijamii, kama kuna tatizo ni vyema kuonana na muhusika ili kumaliza tatizo
-Awaasa wasanii kukabiliana na changamoto na si kuziona kuwa ni tatizo

Ruge hongera sana tumesikiliza mahojiano yako,nakubaliana nawe pale unaposema kuwa redio yako ni chombo binafsi kinahamua wimbo gani uchezwe redioni,lakini tuangalie ukweli katika ulioyaongea,
ReplyDelete(a) Kauli yako inaonyeshawazi kuwa nia na madhumuni ya project yako si tu kukuza sanaa Tanzania bali kuuzika kaburini muziki wa dansi na wa taarabu ili muziki wa kizazi kipya ushike nafasi
(b) maelezo yako juu ya Jay Dee naona unaongea kwa uchungu wa kukatwa na kisu ulichokinoa mwenyewe
(c) kama kweli wewe ni Boss unayejali na kuyapigania maamuzi yako basi hii bongo fleva unayosema hisipigwe leo clouds acha usizipige kabisa harafu tuone nani ? anamwitaji mwinzie.
Ruge lazima ukubali kuwa katika historia ya muziki wa tanzania wewe ni mvamizi na mtu wa kuja.
Kila la heri