Picha chini zinaonyesha muigizaji Wema Sepetu akipakwa make up na
kutengenezwa nywele kabla ya kutokelezea kwenye event ya Kilimanjaro
Music Awards 2013. Gauni alilovaa Wema ni design ya fashion designer wa
Tanzania Eve Collection na designs zake nyingine zilivaliwa na watu
wengine katika event hiyo. Anything to say about Wema's look?. photos
below......................

No comments:
Post a Comment