UMATI WA WATU WAKIWA NYUMBANI KWA MANGWEA.
ASKARI AKIONGOZA MSAFARA ULIOBEBA MWILI WA MANGEA MIKESE MKOANI MOROGORO AMBAPO ULIPOKELWA NA WASAN
II WA FANI MBALIMBALI WAKATI UKITOKEA DAR ES SALAAM
MASHABIKI WA NGWEA WAKIWA WANAKIMBIA SAMBAMBA NA GARI LILILOBEBA MWILI WA NGWEA MIKESE.
MSAFARA WA MAFARI BARABARA ENEO LA MKAMBARANI ULIKUWA HIVI.
HAPA MKAMBARANI, KULIA NI BASI LA BM LIKIVURUGA MSAFARA HUO.
MASHABIKI
WA MANGWEA WAKIWA KATIKA KANDO YA BARABARA KATIKA MZUNGUKO WA MSAMVU
MOROGORO WAKATI MSAFARA UKIELEKEA NYUMBANI KWA MANGWEA KIHONDA.
MAPOKEZI YA MWILI WA NGWEA ENEO LA MAZIMBU ROAD KIHONDA.
MWANDISHI MPIGA PICHA WA ABOOD MEDIA SALUM AKIWA SILIANA NA WATU WA OFISINI KWAKE.
BASI LA ABOOS AMBALO LILIWABEBA WASANII WA FANI MBALIMBALI, HAPA LIKIWA MIKESE WAKISUBIRI MSAFARA WA ULIOBEBA MWILI WA MANGWEA.
No comments:
Post a Comment