
Mshindi wa Redd's Miss Muleba Illuminatha Dominick akitabasamu mara baada ya kutangazwa usiku.
( Habari na Bukobasports.com).

Mshindi wa pili kushoto Linah Mutayoba na kulia ni mshindi wa wa tatu Fransisca

Kujificha kwa tabasamu ni vigum.

Babylove Kalalaa ndiye aliyekuwa ameshikilia taji na sasa ameliachia Illuminatha kwa mwaka huu 2013.

Washiri wote wa redd's Miss Muleba kwenye show ya pamoja

Dj Slay akiwa na ashirafu kalumuna wakifuatilia show

Kijana wa masauti ya Wanyama Ommy mkali wa kuiga sauti za wanyama akitoa burudani

Washiriki wakionesha vituzi jukwaani kila mmoja akitaka namba..

Hapa ni Chief jaji Jamal Kalumuna akitangaza top 5

Chief
Judge Jamal Kalumuna (Jamco) akitambulisha uwepo wake Miss Talent 2012
Babylove Kalalaa miss anayemaliza muda wake na akisubiri mrithi wake

Mgeni rasmi Mkuu wa Wilaya ya Muleba Lembris Kipuyo akifuatilia show

Mr & Mrs tere Gama Meneja wa Mali juice Muleba

Mgeni rasmi Mkuu wa Wilaya ya Muleba Lembris Kipuyo na aliyekaa (kushoto) ni kaimu afisa Utamaduni Wilaya ya Muleba Bw. Kamaleck

Majaji wakitafuta mbinu za kumpata mshindi kila mmoja na kalamu yake...
Bw.Varelian kushoto akiwa pamoja na wadau

Kwisha....!!!

Pongezi zikitiririka pasipo lazima ni kama kawaida kwenye Redd's..

Uhondo ukiendelea kuwakamata wakina Dadaz

Kazi kweli kweli
Wazazi
nao waliendelea vizuri na ratiba huku kila mmoja akiwa anajiuliza nani
mshindi na nani anafata huku wakiwa wanajua vitu kama Mvuto, Umbo,
Tabasamu, Cutwalk pamoja na uelewa ni vitu muhimu sana.

Ni kama roboti likijinasua kuweka mambo sawa tayari kuanza kwa show

Vijana wa Dayna Nyange wakifanya mambo

Dayna Nyange akivutwa hapa kutoa burudani

Mwanamuziki Dyna Nyange akiburudisha mashabiki

Mama na Mwana..

Chukua taji hilo...!!!

Illuminatha Dominick akitabasamu kwenye kamera ya Bukobasports.com

Picha ya Pamoja

waandaaji picha ya pamoja
No comments:
Post a Comment