Kitu kipya toka kwa Wolper na Ray - waigiza kama mke na mume.
Vincent Kigosi ama Ray na mrembo Jacqueline Wolper , wapo location
wakishoot movie yao mpya ambayo bado hatujaweza kupata jina lake mpaka
sasa kutokana na sababu zilizo nje ya uwezo wetu.
Katika picha picha hizo walizoziweka kwenye akaunti zao za
mtandao mmoja wa kijamii nchini inaonekana wanaigiza kama mke na mume.
“Siye tena kazini new movie, mke wa mtu me hapa nacheza.me en
broo ray mwenyezi mungu kua nasi mwanzo hadi tumalize inshaalah ,”
ameandika Wolper kwenye moja picha hizo.
Filamu hii inatengenezwa na kampuni ya RJ company iliyoshinda tuzo ya best production house kwenye tuzo zilizotolewa na kampuni ya usambazi wa filamu Tanzania Steps Entertainment Limited
No comments:
Post a Comment