Mastaa wa kumwaga walikua miongoni mwa wageni takriban 100 walioalikwa
kwenye birtday party ya Vanessa Mdee. Pamoja na kusherehekea siku yake
ya kuzaliwa, Vanessa pia aliitumia fursa hiyo kujipongeza kwa kutajwa
kuwania Kili Awards mwaka 2013, zinazofanyika leo kwenye ukumbi wa
Mlimani City.
Baadhi ya wasanii na watu mashuhuri walioalikwa kwenye
party hiyo ni Izzo B, Weusi, Mwana FA, AY, Shaa, Master Jay, Salama
Jabir, Marco Chali, Quick Rocka, Lina, Ommy Dimpoz, producer Master J.
Wasanii waliotumbuiza ni pamoja na Linah, Izzo B, Shaa, Ommy Dimpoz,
G-Nako.



Shaa

Mdogo wa Vanessa (wa katikati), Avid (kulia) na mshkaji
Vanessa na mdogo wake
Vanessa Mdee na B12
Vanessa na mdogo wake
Vanessa Mdee na B12
Izzo B, Mima, B12, Quick Rocka
Weusi G Nako na Joh Makini
Izzo B akimkaba kiutani producer Master J
Linah
Ommy Dimpoz akitumbuiza
Vanessa Mdee na Linah
Vanessa Mdee na Linah
No comments:
Post a Comment