Friji zilizosheheni vinywaji baada ya kuteketea kwa moto.
Meneja wa klabu hiyo, Said Kassim akitoa maelezo kwa waandishi walifika kwenye tukio.
Klabu
ya EM Stereo iliyopo Kinondoni - Studio jijini Dar es Salaam leo
imeteketea kwa moto baada ya kutokea hitilafu ya umeme. Moto huo
umeteketeza kila kitu kilichokuwa ndani ya klabu hiyo.
(PICHA: GLADNESS MALLYA NA DENIS MTIMA / GPL)
No comments:
Post a Comment