
Kikosi kazi cha Skylight Band kikisebeneka wakati wakitoa burudani kwa mashabiki wa kwenye show zao za kila Ijumaa ya mwisho wa wiki ndani ya Uwanja wa wa nyumbani Thai Village Masaki jijini Dar.
Minataka Mukanda ya Chuma chuma......Style mpya ya uchezaji ya Skylight Band. Pichani ni mashabiki wakijaribu miondoko hiyo.
Aneth Kushaba AK47 na Sam Mapenzi wakiburudisha mashabiki wa Skylight Band.
Mary Lucos akicheza na kuimba na mashabiki wa Skylight Band.
Mmoja wa mashabiki wa Skylight Band aliyejaaliwa kipaji akionyesha ufundi wake wakusakata sebene huku wenzake wakimpigia makofi.
Wakaka hawakukubali kushindwa na walijibu mapigo kwa wadada. Kanyaga twendeeeeee.
Kiduku pia kilichezeka....Hapa chezea Skylight Band weweeee.... ndio habari ya mujini.
Rapa Sony Masamba wa Skylight Band akiwajibika jukwaani.
Utamu wa ngoma unapokolea inakuwa hivi.....Shabiki akinengua kwa Staili ya aina yake.
Aneth Kushaba AK 47 katika hisia kali.
Skylight Band ikiongozwa na Aneth Kushaba AK 47 wakitoa burudani kwa mashabiki wao.
Mduara nao ulihusika.
No comments:
Post a Comment