Muigizaji mkongwe wa tansia ya filamu hapa Bongo, Suzan Lewis
‘Natasha’ SIKU YA JANA amefunga ndoa kwenye Kanisa la Mtakatifu Joseph
lilipo Posta jijini Dar na mume wake Alex Humbila .
Kabla ya kutinga kanisa kamera yetu ilimnasa Natasha katika suluni moja maarufu kwa kupamba mastaa mbalimbali hapa Bongo , Partners Wedding iliyopo Sinza Mori akiwa anaandaliwa kwaajili ya kwenda kanisani. Kufunga ndoa

PICHA: IMELDA MTEMA GPL
No comments:
Post a Comment