Wastara ameiambia Stori 3 kuwa, anafanya kazi yake kwa bidii ambapo
anatarajia kutoa muvi tatu kwa mpigo ndipo apumzike kulipiza muda ambao
hakufanya kazi hiyo alipokuwa akimuuguza mumewe.
“Nimemaliza kushuti
filamu yangu ya Shaymaa (Kialama) na sasa naendelea kucheza nyingine
walau nilipize muda niliokaa bila kucheza filamu,” alisema Wastara.
No comments:
Post a Comment