Kuna watu wana fikra potofu linapokuja swala la kuwa mtoto,kuwa
unapokuwa na mtoto unazeeka ama mvuto unapotea! Leo nakutoa gizani kwa
kukupa picha za mastaa wachache wenye watoto wakubwa lakini bado wana
mvuto tena wanaita bado.
*Kutana na Omotola Jalade a.k.a Omosexy staa wa filamu Nigeria. Omosexy ni mama wa watoto wanne tena wakubwa lakini ukimwona huwezi kuamini anavyoita!
*Genevive Nnaji ni staa mwingine kutoka Nolywood mwenye binti mkubwa
aliyempata wakati ana miaka 17 kiasi wakitembea unaweza kusema mtu na
dada yake!
*Kajala Masanja staa kutoka hapa Bongo naye yupo kwenye listi maana ana binti mkubwa tu lakini bado yuko vizuri.
*Monalisa staa wa kitambo katika filamu hapa Tanzania.Monalisa ana watoto wawili na yuko bomba pia.
*Kutana na Omotola Jalade a.k.a Omosexy staa wa filamu Nigeria. Omosexy ni mama wa watoto wanne tena wakubwa lakini ukimwona huwezi kuamini anavyoita!
![]() |
| Watoto Omotola: Princess (16)mwenye green, M.J (15)mwenye jacket jacket, Meraiah (13)mwenye gauni la brown na mtoto wake wa mwisho mwenye miaka 11 Michael Ekeinde aliyevaa koti jeusi. |
![]() |
| Omosexy na mumewe |
![]() |
| Binti wa Genevive Ebuka |
![]() |
| Genevive na mwanae |
![]() |
| Baba, mama na Paula wao |
![]() |
| Kaja na mwanae Paula |

| Monalisa na mwanae Sonia CREDIT: MAMU AFRICA Blog |







No comments:
Post a Comment