Kamishna
Msaidizi Mwandamizi wa Jeshi la
Magereza, Mlasani Kimaro akinyanyua juu
Kikombe cha Zawadi ya Mshindi wa kwanza
wa jumla katika Maonesho ya
Wakulima-Nane
Nane baada ya kukabidhiwa na Mgeni rasmi
Makamu wa Pili wa
Rais wa Serikali ya
Mapinduzi Zanzibar, Balozi Seif Iddi katika
Kilele
cha sherehe za Maonesho ya
Nane Nane Kitaifa, yaliyofanyika Uwanja wa
Nzuguni, Dodoma.
(Picha na Lucas Mboje wa Jeshi la Magereza).
No comments:
Post a Comment