BAYERN Munich imetwaa Super Cup ya Ulaya
baada ya kuifuna Chelsea kwa penalti 5-4 kufuatia sare ya 2-2 na Jose
Mourinho ameshindwa kutwaa taji la kwanza baada ya kurejea darajani
mbele ya Pep Guardiola.
Katika mchezo huo, ambao Chelsea ilimaliza pungufu baada ya Ramires kutolewa nje kwa nyekundu dakika ya 84, mabao ya The Blues yalifungwa na Torres dakika ya nane na
Hazard dakika ya 93, wakati ya Bayern yalifungwa na Ribery dakika ya 47 na Javi Martinez dakika ya 120.
Katika mikwaju ya penalti, Ashley Cole alifunga Cech akaokoa penalti Xherdan Shaqiri.
Penalti nyingine zilizofungwa na David
Luiz, Oscar na Frank Lampard kwa upande wa Chelsea, wakati za Bayern
zilifungwa na Jerome Boateng, Toni Kroos, Philipp Lahm na Franck Ribery
hivyo kuteneneza ushindi wa 5-4.
Kikosi cha Bayern Munich
kilikuwa: Neuer, Rafinha/Javi Martinez dk56, Dante, Boateng, Alaba,
Muller/Gotze dk70, Lahm, Kroos, Ribery, Mandzukic na Robben/Shaqiri
dk95.
Chelsea: Cech, Ivanovic, Cahill, Luiz, Cole, Ramires, Lampard, Hazard, Oscar, Schurrle, Torres/Lukaku dk97.
Loss: Lukaku looks on after his decisive penalty miss in Prague
Champions again: Bayern celebrate the win after Neuer's penalty save
Strike: Hazard scored his first goal of the season in the 93rd minute, driving low past Neuer
Ahead: Hazard put Chelsea 2-1 up in extra time in Prague
Off you go: Ramires was sent off late in normal time for a second bookable offence
In behind: Ashley Cole of Chelsea and Arjen Robben battle for the ball
Great strike: Torres wheels away after putting Chelsea 1-0 up
Level: Franck Ribery scored just after half-time for Bayern with a 20-yard drive
Fanatics: Bayern supporters paint Prague red before the game
Momentum: Mourinho was looking to continue his unbeaten start as Chelsea boss.
No comments:
Post a Comment