MSANII wa filamu za Bongo, Irene Uwoya amempongeza staa mwenzake,
Blandina Chagula ‘Johari’ kwa kutumbukiza picha kwenye Instagram
ikimuonesha amevaa pete ya ndoa kwenye kidole husika.

Wadau mbalimbali nao walimpongeza Johari kwa hatua hiyo huku wengine wakihoji imekuwaje kimyakimya?
Maswali na pongezi hizo za wadau zilijibiwa na Johari mwenyewe ambaye
aliandika: ‘Thanx ndo maisha yanachange’ (yaani asante ndiyo maisha
yanabadilika).
Alipopigiwa simu juzi na kuulizwa kama amefunga ndoa kwa siri, staa huo alicheka na kusema: “Hakuna kitu kama hicho jamani.”
Alipopigiwa simu juzi na kuulizwa kama amefunga ndoa kwa siri, staa huo alicheka na kusema: “Hakuna kitu kama hicho jamani.”
No comments:
Post a Comment