Habari,Picha na 2jiachie.
Wataendelea kukupasha habari na matukio
yoote yanayoendelea maonyesho ya Kilimo ( NANE NANE) kanda ya kaskazini.
KATIKA VIWANJA VYA TASO NJIRO JIJINI ARUSHA.
RUNGU DAWA YA MBU WAKIWABURUDISHA WATOTO.
ORANGE GAS WAKIHAKIKISHA UNAPATA KILICHO BORA KWENYE MASWALA YA MAANDALIZI YA CHAKULA GAS ISIYO NA MADHARA KWA AFYA YA MTUMIAJI.
WAFANYAKAZI NMB WAKIWA NA BAADHI YA WADAU WAO KATIKA MAONYESHO YA KILIMO KANDA YA KASKAZINI WAKIBADILISHANA MAWAZO.
WADAU WA NMB WAKIONYESHA PRODUCT MBALIMBALI.
MDAU WA NMB
Banda la MAMBO JAMBO REDIO WAFANYAKAZI WAKIWA BUZZ,
WATANGAZAJI
WA MJ REDIO. MWANAIDI SULEIMAN (may c) alieangalia mbele wa kipindi
cha mtaa wa pili. Akiwa na mtangazaji mwenzake.ROTILINDE ACHIMPOTA wa
kipindi cha matukio anaeongea na simu.
Producer & Presenter DJ HAAZU WA MJ REDIO
ALIEVAA HEADPHONE SHINGONI, NA PRESENTER MWINGINE WA MJ ALIEVAA KIZIBAO
GILBART BONIFACE Wakiiwakilisha vizuri mambo jambo redio katika viwanja
vya maonyesho ya kilimo NANENANE kanda ya kaskazini. KULIA NI JACKLINE
JERICHO Markerting excecutive mambo jambo na kushoto ni JESCA C. KAAYA
Markerting excecutive mambo Jambo Redio.
Banda la kurushia matangangazo la Redio 5 kwenye
maonyesho ya kilimo (nanenane kanda ya kaskazini)
DAVID RWEGANYIRA
BONGE LA MUTU ni mtangazaji na mshauri .Aliekaa kwenye mashine ni
DEOGRATIAS NAFTAL Producer na IT manager, mwingine ni SARAH KEIYA (
white lady) manager masoko na mahusiano. Godfrey Thomas mtangazaji (
mzee wa hakuna kulala)
Watoto wakiburudishwa na Redio 5 kwa muziki na Maswali ya hapa na pale.
SUNRISE REDIO WAKIWA HEWANI WAKIONGEA NA WASIKILIZAJI WAO KATIKA MAONYESHO YA KILIMO NANENANE KANDA YA KASKAZINI.
Baadhi ya watangazaji na viongozi wa sunrise Redio wakishauriana jambo kwenye Banda Lao.
Mtangazaji EZRA AGOLA THE GRADIETAL Akizungumza na wananchi waliotembelea maonyesho hayo na kutuma salamu zao kwa ndugu jamaa na marafiki.
Wananchi wakimzonga maandishi wa sunrise wakitaka kutuma salamu.
KAIMU MKURUGENZI WA INTELIGENCE SECURICO LTD NDIO
WALIOBEBA DHAMA YA KULINDA NA KUHAKIKISHA WAZAMIAJI WASIO NA KAZI
KUZAMIA OVYO ENEO LA MAONYESHO
MJASIRIAMALI AKITANGAZA BIASHARA YA BAADHI YA MACHINE ZINAZORAISISHA HUDUMA ZA KILIMO.
Habari na 2jiachie.
wataendelea kukupasha habari na matukio
yoote yanayoendelea maonyesho ya Kilimo ( NANE NANE) kanda ya kaskazini.
KATIKA VIWANJA VYA TASO NJIRO JIJINI ARUSHA.
No comments:
Post a Comment