Heshima za mwisho kwa mwili wa Maremu Erasto Msuya.
Nyumba ya milele ya marehemu Erasto Msuya ikiandaliwa.
Ni
siku takribani sita zimepita tangu mfanyabiashara wa madini ya
Tanzanite aliyefahamika kwa jina la Erasto Msuya kupigwa risasi na
kufariki dunia papo hapo katika eneo la Bomang'ombe karibu na njia panda
ya KIA (Kilimanjaro International Airport), jana ni
siku ya mazishi ya mfanyabiashara huyo ambaye alikua akiishi jijini
Arusha maeneo ya kwa Iddi. Jana jumatatu utaratibu wa kuuaga mwili wa
marehemu nyumbani kwake ulifanyika na jana Jumanne umepelekwa kuzikwa
huko Mererani katika kijiji cha Kairo.
No comments:
Post a Comment