MUIGIZAJI Bongo, Lulu Semagongo ‘Aunty Lulu’ amefunguka kuwa kuna wabaya ambao wanataka kumharibia mapenzi yake kwa mpenzi wake mpya ambaye hakupenda kumtaja jina.
“Hebu fikiria mtu anampigia mpenzi wangu simu na kumueleza mambo ya kijinga kama hayo ili tu kuniharibia, yaani nimesikitika sana na ole wao nikiwabaini!” alisema Aunty…
No comments:
Post a Comment