Kanisa la KKKT Dayosisi ya Mashariki na Pwani Jimbo la Kati Usharika wa Segerea lilipuliwa kwa kitu kinachosadikiwa kuwa ni bomu usiku wa kuamkia jumaosi Agost 24
na watu wsiojulikana, hata hivyo kamanda wa polisi kanda maalum ya DarEsalaam Suleiman Kova
ameahidi kufanya uchunguzi wa kina kuhusiana na tukio hilo.
(PICHA NA MAKONGORO OGING, GPL)
No comments:
Post a Comment