EFM RADIO

EFM RADIO

HERICONY

Tangaza hapa

Tangaza hapa

TANGAZA NA BLOG YAKO HAPA

TANGAZA NA BLOG YAKO HAPA

Tuesday, August 13, 2013

"VIONGOZI WANAOMTETEA SHEIKH PONDA NI WANAFIKI WAKUBWA.....WAKATI ANAHUBIRI UCHOCHEZI MLIKUWA WAPI?"..WILLIAM MALECELA.

Hii  ni  kauli  ya  mtoto  wa  kigogo   hapa  nchini  maarufu  kwa  jina  la  William  Malecela  ambayo  ameitoa  kupitia  blog  yake  akiuelezea  mtazamo  wake  kuhusu  Sakata  la  Ponda  kupigwa  risasi  na  polisi....

Malecela  ameanza  kwa  kuuchambua  wadhifa  wa  Sheikh  Ponda, huku  akikumbushia  vurugu  za  mwembechai   na  mahubiri  ya  kichochezi  ya  Ponda  dhidi  ya  serikali  na  wananchi  wengine  wa  kawaida......

Kwa  mujibu  wa  kauli  yake, Malecela  anadai  kuumizwa  na  unafiki  wa  viongozi  ambao  wameanza  kujitokeza  na  kumtetea  kana  kwamba  kauli  zake  huwa  hawazisikii...

-------------------------------------------------------------------
HII  NDO  KAULI  YAKE
--------------------------------------------------------------------
"Nimekuwa nikimfuatilia Sheikh Ponda kwa karibu sana toka wakati wa vurugu za MwembeChai, since then amegeuka kuwa a very mysterious creature almost becoming like John Gotti the once feared New York City's Mafian Don.

 "Baada ya kusoma kwa makini comments nyingi sana between the media na Social Media za Tanzania, za kutoka kwa wananchi mpaka Viongozi wengi wa Siasa wa Taifa toka ashambuliwe majuzi, ninauona unafiki mkubwa sana na wa hali ya juu sana, kweli kama hili Taifa we are not Taifa la Wanafiki, basi we are almost there to become one!. I mean who is Ponda? What does he stand for? Who pays for his bills and WHY?"I will never support violence, lakini here we have a Muslim Leader preaching violence, every where he talks the man preaches violence sijasikia Kiongozi yoyote wa Taifa akijitokeza kumlaani Ponda na message zake!,...

"Leo the very Violence he preaches comes to haunt him, eti tuna Viongozi wa Taifa wanaodai Uchunguzi na maneno mengi ya Siasa ambayo wala hayahusu kabisa.

"Wanatuambia nini sisi wananchi wengine wa kawaida kwamba ku-preach violence is ok but when that violence comes to haunt you then where is the government? Really? What government? Halafu eti kuna Viongozi wa Taifa hili wanaojaribu kujikomba komba na kuongea maneno ya kinafiki waonekane wapo sawa na hawa wanaomlilia? Please!!

"Amepigwa risasi 20 Biliionea Arusha majuzi mbona hajatokeza Kiongozi hata mmoja wa Siasa kumlilia na kutaka waliompiga wakamatwe haraka sana? 

"Amememwagiwa tindikali Mfanya biashara maarufu hapa mjini mbona hatujasikia hawa wanasiasa uchwara wakilia lia wakamatwe waliommwagia? 


"Wananchi wangapi wanapigwa Risasi kila siku nchini mbona hatujasikia hawa Viongozi wakilalamika kwamba wahusika wakamatwe? Stop this madness please....

"Viongozi wote wanaolilia na ishu ya Ponda ni wanafiki wakubwa na ni hatari sana kwa hili Taifa. And yes I said it, ni wanafiki wakubwa they all need to go!

" I mean what is so special about Ponda kwamba Serikali iache kazi zake za kawaida ianze kuwatafuta waliompiga Risasi? Vipi wananchi wengi walioumizwa na kupoteza maisha yao kutokana na mafundisho ya sumu za Ponda? 

"I mean it is about time now wale Viongozi wote wanaolialia  kuhusu waliomrushia risasi Ponda kujiuzulu kwa sababu wote ni infit kuongoza hili Taifa, na Viongozi wa juu wa Serikali acheni kujipendekeza na maneno maneno ya kujifanya kuwatuliza hawa wanao lia lia, na maneno ya tume! 

"Tume my left foot, Ponda ni mwananchi kama wengine wote so tatizo lake lichukuliwe kama mengine na Serikali should get tough na wajinga wajinga kama Ponda, nothing but a ******** in the cover of religion!, 


"I mean wananchi Millioni 44 tunakaa tunasumbuliwa na mwanachi mmoja kila siku? how could that be? Enough! and yes I said it he is nothing but a coackroach in the cover of religion!!"

- MUNGU AIBARIKI TANZANIA!
Le Mutuz( William Malecela )

No comments:

Post a Comment

HABARI MBALIMBALI

‘Dk. Cheni’ ‘Sharo Milionea ‘Thea’ African Women AGNESS MASOGANGE AK CLASSIC COSMETICS ALI KIBA Amanda Poshy Ant ANT LULU Ashley Toto Aunt Ezekiel Aunty Ezekiel AUNTY LULU Azam Fc Baby Madaha BAHATI BUKUKU Barnaba BATULI BBA Beauty of the day Belle 9 BI KIDUDE BIBI BOMBA Big Brother Big Brother Africa Bill Gates BINTI KIZIWI BOB JUNIOR Bodi ya Filamu Bongo Movie Bongo Movies CCM CHADEMA Chombezo Christina Shusho Chuchu hans. Clouds Media Group Club Bilicanas DAR LIVE DAVINA Dayna Nyange Diamond Dida Diva Loveness Love Dj Ommy Crazy wa Maisha Club DOGO JANJA DOKI DR.CHENI DSTV Dude Dully Sykes EBSS 2013 Elizabeth Michael Epiq Bongo Star Search (EBSS) ESHA BUHETI Ester Bulaya Feza Kessy FIESTA 2014 Flaviana Matata FLORA MBASHA FLORA MVUNGI Francis Cheka GARDNER GLOAL PUBLISHERS GLOBAL TV ONLINE H. BABA Halima Mdee HAMISA Happy birthday Hemedi Hemedy Suleiman HOTUBA YA RAIS JAKAYA MRISHO KIKWETE Hoyce Temu Huddah Monroe HUSINA IRENE PAUL Irene Uyoya ISABELLA J film 4 life Jack Chuz JACK PATRICK Jacob Steven ‘JB’ Jacqueline Dustan JACQUELINE WOLPER Jaji Khamis 'Kashi' Jay Dee JENNIFER KYAKA (ODAMA) JIDE JINI KABULA JK JO Johari Jokate Mwigelo ‘Kidot’. JOTI Joyce Kiria Joyce Kiwia JUX K-LYNN KADINDA kaja Kajala Masanja Kapotive Star Singers KATUNI Kemmy Kero Zetu KHADIJA OMAR KOPA KIKWETUKWETU KILI MUSIC AWARDS KOLETA Lady Jay Dee Lady Jaydee Lake Oil LAVEDA Linah Sanga Linex Lisa Jensen Loveness Diva Lucy Francis Komba Lulu M2 The P MABILIONEA Madam Rita MADELA Magazeti Mahusiano Maimartha Jesse MAINDA MAISHA Makala Malkia Elizabeth MAMTEI MANDELA MARIAM ISMAIL Masanja Mkandamizaji Mashindano ya Miss Tanzania Matangazo Matonya MaxMalipo MAYA MELLIS EDWARD MENINAH MGOSI MKOLONI Mh Halima Mdee mic Michezo MILLEN HAPPINESS MAGESE MISS CHANG'OMBE MISS DAR CITY CENTER Miss East Africa MISS REDD'S IRINGA 2013 MISS TANGA 2013. MISS TANZANIA 2014 Miss Tanzania mwaka 2011 MISS TEMEKE 2014 MISS USTAWI MISS UTALII TANZANIA 2012/13 Miss vyuo vikuu 2013 MKALA MREMBO HUDDAH Mrisho Mpoto Mrisho Ngassa MSHINDI WA REDD'S MISS LAKE ZONE 2013 NI LUCY CHARLES. MSHINDI WA TAJI LA REDDS MISS KANDA YA KATI 2013 Mtitu muziki Mwana FA MWANAMKE BORA WA MWAKA 2013/14 Mzee Majuto Nancy Sumari Nani Mtani Jembe? NAPE Nassoro ‘Nora’ Natasha Nay wa Mitego Necta Nelly Kamwelu NEY WA MITEGO Nisha NSSF;Zantel Nyamwela NYimbo Nyota yako OBAMA TANZANIA OMMY DIMPOZ P FUNK PAM D Peniel Mgilwa ‘Penny’ PETIT MAN Profesa Jay Q - CHILA Q Boy Q Chilla QUEEN DARLEEN RACHEL NDAUKA RAIS KIKWETE Rais Kikwete. Rasimu Ya Katiba TZ Ray Ray C Redd’s Miss IFM REDD'S MISS KAGERA 2013 REDD'S MISS TZ REDDS MISS TANZANIA 2014 Redds Miss wa Mikoa REHEMA FABIAN RICHIE RICHIE Rihanna ROSE MUHANDO Rose Ndauka Ruge Mutahaba. SABASABA 2013 Saida Karoli Saikolojia Sajeti SAJUKI Sandra SHAA Shamsa Ford Sheikh Ponda Shilole Sintah Siwema Skin Tricks Snura Mushi Spika Makinda staa Staa Wetu Stella Mwangi STYLE ZA NYWELE Taifa Stars Tamasha la matumaini TAMASHA LA SERENGETI FIESTA 2013 Tangazo TANZANIA TEGO TENGENEZA WEBSITE NA BLOG TID Tundaman Tupo wangapi? TUZO ZA MWANAMKE BORA WA MWAKA 2013/14 Twanga Pepeta USA PAGEANT 2014‏ VAI Wastara WEMA WEMA SEPETU Yanga Yanga Bingwa 2013 YOUNG D Yvonne Cherry ‘Monalisa’ Z Anton. Zari Zito kabwe

Translate