Hii ndiyo orodha iliyopewa kichwa cha habari “Wauza ‘Unga’ 250 Hawa Hapa” yenye majina 255 iliyochapishwa na Gazeti la JAMHURI Jumanne Juni 13-19, 2013 linayodai (gazeti hilo) kuwa ni ya Watanzania wanaojihusisha na biashara ya dawa za kulevya.
MY TAKE: Kama orodha hii ni ya uhakika kama Gazeti la JAMHURI linavyodai (japokuwa kuna majina yanayojirudia kama #113 na #219), basi tunaona muendelezo uleule wa majina ya DAGAA badala ya PAPA ambao
ndio wahusika wakuu katika biashara hii ya dawa za kulevya. Pia baada
ya kuangalia majina haya, nina wasiwasi kuwa yawezekana wengi walio
katika orodha hii ni watumiaji tu au wasambazaji wadogo wadogo kule
mitaani.
SOURCE: Gazeti la JAMHURI
CREDIT www.frankmakange.com
No comments:
Post a Comment