Meneja wa timu ya Manchester
United, David Moyes (wa pili kulia) akiwapungia mashabiki wa timu yake
kuwashukuru baada mchezo wao na Liverpool, timu yake imeibuka na ushindi wa bao 1-0, lililofungwa na
Chicharito.
Beki wa Manchester United, Jonny Evans, (chini) akimdhibiti mshambuliaji wa Liverpool, Luis Suarez, wakati wa mchezo huo.
Mshambuliaji wa Liver Pool, Luis Suarez (katikati) akijaribu kuwatoka mabeki wa Manchester United, Phil Jones (kulia) wakati wa mchezo huo. (kushoto) ni Jonny Evans.
No comments:
Post a Comment