Mkuu
wa Mkoa wa Dar es Salaam Said Meck Sadick akizungumza na viongozi
mbalimbali wa usalama barabarani (Jeshi la Polisi) madereva na wananchi
katika hafla ya wiki ya nenda kwa usalama barabarani siku ya jana jijini Dra es
Salaam. Maadhimisho hayo ya naongozwa na kauli mbiu “Usalama barabarani
unaanza na Mimi, Wewe na Sisi sote” Mwenyekiti
wa kamati ya maaandalizi ya maadhimisho hayo Elifadhili Mgonja
akizungumza na viongozi mbalimbali wa usalama barabarani (Jeshi la
Polisi) madereva na wananchi katika hafla ya wiki ya nenda kwa usalama
barabarani SIKU YA JANA jijini Dra es Salaam. Maadhimisho hayo ya naongozwa na
kauli mbiu “Usalama barabarani unaanza na Mimi, Wewe na Sisi sote”
Mkuu
wa Wilaya ya Temeke Bi. Sophia Mjemwa akiwasalimia wananchi
walihudhuria hafla ya wiki ya nenda kwa usalama barabarani leo jijini
Dra es Salaam. Aliyeshikilia maiki ni Makamu Mwenyekiti kamati ya
maaandalizi ya wiki ya nenda kwa usalama barabarani Jerome Ringo jana jijini Dra es Salaam. Maadhimisho hayo ya naongozwa na kauli mbiu
“Usalama barabarani unaanza na Mimi, Wewe na Sisi sote”
Baadhi
ya waandamanaji wa wiki ya nenda kwa usalama mkoa wa Dar es Salaam
kutoka wilaya ya Temeke, Ilala na Kinondoni wakianadamana kuelekea
Viwanja vya Mwembe Yanga jijini Dar es Salaam. Maadhimisho hayo ya
naongozwa na kauli mbiu “Usalama barabarani unaanza na Mimi, Wewe na
Sisi sote”
Bendi
ya Jeshi la Polisi ikiiongoza maandamano ya wiki ya nenda kwa usalama
mkoa wa Dar es Salaam ikiongozwa na Koplo Ashura Said akifuatiwa na ASP
Mayala Kulwa. Maadhimisho hayo ya naongozwa na kauli mbiu “Usalama
barabarani unaanza na Mimi, Wewe na Sisi sote”
Askari
wa usalama barabarani wakiwa kwenye kwenye pikipiki kwenye maanadamano
ya wiki ya usalama barabarani . Maadhimisho hayo ya naongozwa na kauli
mbiu “Usalama barabarani unaanza na Mimi, Wewe na Sisi sote”.
Baadhi
ya madereva waendeshapikipiki maarufu kama “bodaboda” wakimsikiliza
mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam (hayupo pichani) kwenye uzinduzi wa wiki
ya usalama barabarani ikiongozwa na kauli mbiu “Usalama barabarani
unaanza na Mimi, Wewe na Sisi sote”
Kikundi
cha polisi wakitumbuiza kwa mindoko ya “makhirikhiri”wakati wa uzinduzi
wa wiki ya usalama barabarani ikiongozwa na kauli mbiu “Usalama
barabarani unaanza na Mimi, Wewe na Sisi sote”
(Picha zote na Eleuteri Mangi- Maelezo)
No comments:
Post a Comment