Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akifungua mkutano wa siku 11 wa 34 kwa Mabunge ya Nchi wanachama wa
Jumuiya ya SADC katika ukumbi wa AICC jijini Arusha siku ya jana.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akizungumza na Spika wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar Mhe Pandu Ameir
kificho kabla ya kufungua mkutano wa siku 11 wa 34 kwa Mabunge ya Nchi
wanachama wa Jumuiya ya SADC katika ukumbi wa A I C C jijini Arusha.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akisalimiana na Mbunge wa Arusha mjini Mhe. Godbles Lema nje ya ukumbi
wa mikutano wa A I C C Arusha, Baada ya kufungua mkutano wa siku 11 wa
34 kwa Mabunge ya Nchi wanachama wa Jumuiya ya SADC katika ukumbi wa A I
C C mjini Arusha . Kushoto Mbunge wa Arumeru Mashariki Joshua
Nasari.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib
Bilal, akizungumza na Spika wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar Mhe Pandu
Ameir kificho kabla ya kufungua mkutano wa siku 11 wa 34 kwa Mabunge ya
Nchi wanachama wa Jumuiya ya SADC , katika ukumbi wa A I C C mjini
Arusha.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib
Bilal, akiangalia vikundi vya sanaa vya ngoma za aina mbalimbali
alipowasili katika Jengo la Ukumbi wa mikutano A I C C mjini Arusha kwa
ajili ya kufungua mkutano wa siku 11 wa 34 kwa Mabunge ya Nchi wanachama
wa Jumuiya ya SADC .
No comments:
Post a Comment