Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akimpa pole mjane wa Balozi Isaac Sepetu, Mama
Miriam Sepetu, alipokwenda na Mama Salma nyumbani kwa marehemu Sinza
Mori, Dar es Salaam jana, kutoa pole kwa mjane huyo na familia ya
Marehemu Sepetu aliyefariki juzi jijini Dar es Salaam.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akitoa pole kwa wanafamilia wa Balozi Isaac
Sepetu alipokwenda na Mama Salma nyumbani kwa marehemu Sinza Mori, Dar
es Salaam jana, kutoa pole kufuatia msiba Marehemu Sepetu aliyefariki
juzi jijini Dar es Salaam.
Mke wa Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimfariji mjane wa Balozi Isaac
Sepetu alipokwenda nyumbani kwa marehemu Sinza Mori, Dar es Salaam,
kutoa pole kufuatia msiba Marehemu Sepetu aliyefariki juzi jijini Dar es
Salaam.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiweka saini katika kitabu cha maombolezo
ya msiba wa Balozi Isaac Sepetu alipokwenda nyumbani kwa marehemu
Sinza Mori, Dar es Salaam jana, kutoa pole.

Mama Salma Kikwete akiweka saini katika kitabu cha maombolezo ya msiba
wa Balozi Isaac Sepetu nyumbani kwa marehemu Sinza Mori, Dar es Salaam.

Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akimfariji mjane wa Balozi Isaac Sepetu, Mama
Miriam Sepetu, alipokwenda na Mama Salma nyumbani kwa marehemu Sinza
Mori, Dar es Salaam jana, kutoa pole kwa mjane huyo na familia ya
Marehemu Sepetu aliyefariki juzi jijini Dar es Salaam.
(PICHA NA IKULU)
No comments:
Post a Comment