Mtoa
mada na Mtafiti wa Ugonjwa wa Kifua Kikuu(TB)Dr Said Egwaga akizungumza
na waandishi wa habari leo katika Hoteli ya Ngurdoto mkoani Arusha juu
ya utafiti walioufanya mwaka 2011 katika wilaya 62 nchini ulibaini
kati ya watu Laki moja kuna wagonjwa wa Kifua Kikuu 295 na waliothirika
zaidi ni wanaume ukilinganisha na wananwake na idadi kubwa iko maeneo
ya Vijijini ukilinganisha na mijini tofauti na walivyotarajia.
Mratibu wa Magonjwa yasiyopewa
Kipaumbele nchini.Dr Upendo Mwingira akifafanua jambo kwa waandishi wa
habari katika mkutano wa Kimataifa cha taasisi za afya za jamii
unaofanyika mkoani Arusha.
Wataalamu wakifatilia mada zilizokua zikiwasilishwa na mabingwa wa tafiti za magonjwa ya binadamu leo
Wataalamu wakifatilia mada zilizokua zikiwasilishwa na mabingwa wa tafiti za magonjwa ya binadamu leo.
No comments:
Post a Comment