BAADA
ya habari kuenea kuwa Diamond PLatnumz amerudiana na Wema walipokuwa WAKILA BATA na Baadae Platnumz kukanusha habari hiyo
kupitia website yake, hatimaye 2jiachie.com imepata picha za Diamond na
C.E.O wa Endless Fame Wema Sepetu wakiwa kwenye pozi tofauti tofauti za
kimahaba nchini humo.
Picha inawaonesha Diamond na Wema wakiwa wamevaa
Mapajama (nguo za kulalia) sehemu kama hotelini hivi na nyingine
ikimuonesha Diamond akim-kiss Wema wakiwa kitaa. Lakini Diamond ni real
boyfriend wa Penny…
HABARI NA 2JIACHIE.COM
HABARI NA 2JIACHIE.COM



No comments:
Post a Comment