…Ally choki akimpiga tafu ya kunengua mnenguaji wake.
BENDI ya muziki wa dansi ya Extra Bongo ya jijini Dar es Salaam jana iliwapagawisha mashabiki waliofurika katika Uwanja wa Taifa wa Burudani wa Dar Live uliopo Mbagala-Zakhem jijini Dar es Salaam.
No comments:
Post a Comment