Meneja
Masoko wa Benki ya NBC, Alina Maria Kimaryo (kushoto), akizungumza kwa
simu na mmoja wa washindi wa promosheni ya ‘Weka Upewe’ ya benki hiyo
jijini Dar es Salaam jana. Wengine kushoto kwake ni Mkuu wa Kitengo cha
Bidhaa za Kuwekeza na Wateja Wakubwa, Andrew Massawe, Mkuu wa Idara ya
Huduma za Rejareja za Kibenki , Mussa Jallow, Meneja katika Kitengo cha
Bidhaa za Kuwekeza, Dorothea Mabonye na Mkaguzi wa Bodi ya Michezo ya
Kubahatisha Tanzania (GBT), Abdallah Hemedi. Wateja wanne walishinda
pikipiki na wawili jenereta.Mkuu
wa Idara ya Huduma za Rejareja za Kibenki wa Benki ya Taifa ya Biashara
( NBC) , Mussa Jallow (katikati) akizungumza wakati wa droo ya kwanza
ya promosheni ya ‘Weka Upewe’ ya benki hiyo jijini Dar es Salaam.
Wengine kushoto ni Meneja Masoko wa benki hiyo, Alina Maria Kimaryo,
Mkuu wa Kitengo cha Bidhaa za Kuwekeza na Wateja Wakubwa, Andrew
Massawe, Meneja katika Kitengo cha Bidhaa za Kuwekeza, Dorothea Mabonye
na Mkaguzi wa Bodi ya Michezo ya Kubahatisha Tanzania (GBT), Abdallah
Hemedi. Wateja wanne walijishindia pikipiki na wawili jenereta.
Meneja
katika Kitengo cha Bidhaa za Kuwekeza na Wateja Wakubwa cha Benki ya
NBC, Dorothea Mabonye (katikati) akibonyeza kompyuta ili kumpata mmoja
wa washindi wa promosheni ya ‘Weka Upewe’ ya benki hiyojijini Dar es
Salaam. Kushoto ni Mkuu wa Idara ya Huduma za Rejareja za Kibenki wa
benki hiyo, Mussa Jallow na Mkaguzi wa Bodi ya Michezo ya Kubahatisha
Tanzania (GBT), Abdallah Hemedi. Wateja wanne walijishindia pikipiki na
wawili jenereta.Meneja
Mahusiano wa Benki ya Taifa ya Biashara ( NBC), Eddie Mhina (kushoto)
akizungumza wakati wa droo ya kwanza ya promosheni ya ‘Weka Upewe’ ya
benki hiyo jijini Dar es Salaam. Wengine kushoto kwake ni Meneja Masoko
wa benki hiyo, Alina Maria Kimaryo, Mkuu wa Kitengo cha Bidhaa za
Kuwekeza na Wateja Wakubwa, Andrew Massawe, Mkuu wa Idara ya Huduma za
Rejareja za Kibenki, Mussa Jallow na Meneja katika Kitengo cha Bidhaa za
Kuwekeza, Dorothea Mabonye.
Baadhi
ya wafanyakazi wa NBC na waandishi wa habari wakifuatilia hafla ya droo
ya kwanza ya promosheni ya ‘Weka Upewe’ya benki hiyo jijini Dar es
Salaam.
No comments:
Post a Comment