KUNA KIKUNDI AMA MAKUNDI YA WATU AMBAO WAMEKUWA WAKI-COPY NA KU-PASTE HABARI ZETU,
JAMBO AMBALO KITAALUMA SIYO KITU KIBAYA KUTUMIA HABARI ZA MTANDAO
FULANI ILIMRADI TU WAZINGATIE TARATIBU ZA TAALUMA YA UANDISHI WA HABARI.
KWA
MFANO, KUNA WATU WANACHUKUA HABARI ZETU NA HAWASEMI WAMEZIPATA KATIKA
MTANDAO WETU. MBAYA ZAIDI WANAAMUA KUPOTOSHA UKWELI WA HABARI HIZO.
HIVYO
TUNAWALAANI WATU WA NAMNA HIYO WASIOZINGATIA TAALUMA YA UANDISHI WA
HABARI KWA KUTUMIA HABARI ZA MTANDAO WETU LAKINI WAKASHINDWA KUSEMA
WAMECHUKUA WAPI HABARI HIZO. HAYO NI MATUMIZI MABAYA YA HABARI ZA
MTANDAO HUSIKA.
NI
JUKUMU LETU SOTE KUKOMESHA TABIA HII. KUNA WATU WENYE BLOG ZAO NAO
WAMEKUWA VINARA WA KUTUMIA HABARI ZETU BILA KUTUPATIA HESHIMA YETU.
TUNAOMBA UMMA UFAHAMU KUWA GLOBAL PUBLISHERS INATUMIA GHARAMA
KUBWA
KUPATIKANA KWA HABARI HIZO.
HATUKATAZI
WATU KUTUMIA HABARI ZETU LAKINI WASIPOTOSHE UKWELI. KIMSINGI
WANATAKIWA KUSEMAHABARI HIZO WAMECHUKUA GLOBAL PUBLISHERS. KAMA WATU
HAO WATAENDELEA KUKIUKA UTARATIBU HUO, HATUA ZITACHUKULIWA DHIDI YAO
KWANI TUNAYO MAJINA YA BLOG NA WEBSITE ZINAZOTUMIA HABARI ZETU VIBAYA.
TUNAOMBA WAANDIKE CHANZO CHA HABARI ZETU, HASA WANAOTUMIA HABARI ZA MTANDAO GLOBAL PUBLISHERS.
WASIPOBADILIKA TUTAWAORODHESHA WEBSITE NA BLOG ZAO.
Imetolewa na Utawala Global Publisher.
Imetolewa na Utawala Global Publisher.
NAWAUNGA MKONO ASILIMIA ZOTE, KUNAKILI SIYO DHAMBI LAKINI KUFICHA CHANZO NI JAMBO BAYA.
ReplyDelete