

Nyawana Fundikira.
Msanii wa taarab nchini anayejulikana kwa
jina la Nyawana Fundikira aliyetamba na wimbo wa 'Nipo kamili
nimejipanga', amefariki dunia mchana huu kwa ugonjwa wa malaria.Nyawana
amefariki akiwa kwake maeneo ya Mwananyamala B na mwili wake sasa
umepelekwa kuhifadhiwa hospitali ya Mwananyamala.
No comments:
Post a Comment